Hivi kwani hili jukwaa linawahusu akina nani km si celebrities? ??? Wenyewe tulishazoea story za hapa km ww unaona chenga pita hiviiiiiiiiSidhani kama yanakuhusu haya!
Hivi kwani hili jukwaa linawahusu akina nani km si celebrities? ??? Wenyewe tulishazoea story za hapa km ww unaona chenga pita hiviiiiiiii
Hongera sana Dogo, dah maana unajituma sana kuhakikisha kila kitu kwenye familia kinaenda sawa.Na wewe mama lulu umezidi mtoto analalamika sana kuwa unamuomba hela kila wakati, kachoka hadi kaamua kukununulia boda boda iwe inakuingizia angalau hata hamsin kwa wiki, haya sasa ----------- boda boda ukipata pesa wewe na bar, unalewa hadi kero ,si una uhakika kesho zitaingia nyingine bhna?, mtoto anahangaika kucheza ngololo na watu wazima ili mradi tu atunze familia, mama badala ya kutulia mfanye mambo ya maana na wewe unazingua, kweli ng'ombe wa maskini hazai. Haya na wewe lulu mtoto wa mh kajitolea kukulea na nyumba uko tegeta kakupangishia sasa ivi unalalamika ooh mbahili hatoi pesa , sasa wewe ulitaka upewe hela kila siku umeambiwa ATM machine ile? Au wewe umekuwa mke wake? , ndio tunajua mh mtarajiwa bahili kweli kweli na wewe kupangishiwa hiyo nyumba shukuru mungu, yaani umeshindwa kumvumilia mwenzio yupo kwenye mchakato wa kampeni za uchaguzi wewe unataka hela tu, si ufanye kazi kwani baba ako yule? , ukashindwa kuvumilia sasa ivi upo kwa billionaire mwingine, sawa kula ujana ila kuna ukimwi au unataka kurudi jela?maana mtoto wa mh akisikia hii patakuwa hapatoshi, we endekeza chini tu.
Nenda uko kwa team ukweli na uwazi kama utaikuta hii, acha kukariri maisha, halafu mbona unakuwa muongo mpaka unaudhi? Hii nimeandika mwenyewe baada ya kuwa n evidence zangu, we nenda kwa hyo team ukweli halafu uje utoe ushuhuda wa kweli ------- zako weweJua kua ulikua na thread za uhakika before ila uku unakoelekea naona una-copy Team ukweli na uwazi nakushauri baki na identity yako hapa ni JF na kule ni Instagram najua unajua nazungumzia nini wengine tunapita kotekote ivo inaleta uvivu kuona kitu kimoja sehenu tofauti wewe endelea kutuletea uzi wa aina yako kama zamani ulikua una-sound poa sana.
Jua kua ulikua na thread za uhakika before ila uku unakoelekea naona una-copy Team ukweli na uwazi nakushauri baki na identity yako hapa ni JF na kule ni Instagram najua unajua nazungumzia nini wengine tunapita kotekote ivo inaleta uvivu kuona kitu kimoja sehenu tofauti wewe endelea kutuletea uzi wa aina yako kama zamani ulikua una-sound poa sana.
Inaonekana bibie alianza kugegedwa akiwa darasa la pili kama mamaye yupo hvyo.
Mtazamo wako tu
We mwagaa mbona wanapendaaaa
Nimempa assignment akienda kwa huyo team ukweli na kukuta hii habari , binamu jukwaa ntaliama milele sitarudi humu tena , sio kwa huyo tu ata akiikuta popote aje kutoa ushuhuda humu kuwa nimekopi sehemu, Mimi warumi sijafulia habari kihivyo bhna, ananichafulia tu jina binamu, kumbe na Mimi nawatia watu homa eeh? Hadi wanasema nime copy duh najikubal kwa hilo.
Aliye msafi awe wa kwanza kumpiga mawe Mama Lulu...