Tunaambiwa , baada ya muigizaji lulu Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu akutangulie
Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu akutangulie
Baada ya Lulu kuhitimu diploma kutoka kile chuo kiitwacho "the Big house of inmates "?Kwa hiyo ameanza mafunzo mapya ya juu zaidi kwenye chuo cha "EFM " akiitwa "the best student of life " in higher faculty of motherhoodness"?Nimekuelewa halafu nimecheka sana. ππππππππππ