View attachment 81173
Habari zilizotufikia hivi punde
zinadai kuwa Mahakama kuu
ya Tanzania imemwachia kwa
dhamana msanii wa filamu
nchini Tanzania, Elizabeth
Michael aka Lulu aliyekuwa
mahabusu katika gereza la
Segerea jijini Dar es Salaam.
Wiki iliyopita mawakili wa
muigizaji huyo waliwasilisha
maombi ya dhamana kwa
mahakama hiyo kuu ya
Tanzania.
Wanasheria hao Peter Kibatala,
Kennedy Fungamtama na
Fulgence Massawe waliomba
dhamana hiyo itolewe haraka
kwakuwa muombaji amekaa
mahabusu kwa zaidi ya miezi
saba na kwamba kosa lake
linaweza kupewa dhamana.
Lulu anakabiliwa na kesi ya
kumuua bila kukusudia Steven
Kanumba April 7, 2012, huko
Sinza Vatican, jijini Dar es
Salaam.Kanumba alidaiwa
kuwa kwenye ugomvi na Lulu
aliyekuwa mpenzi wake
nyumbani kwake Sinza.
aisei asante kwa kuturudishia kiburudisho chetu kwa mtaa make kifo cha kanumba neema ya vidume waliobaki sasa ngoja tujiachie na lulu nadhani mshahara wa dhambi ni mauti hakuna mtu anayestahili kifo tuseme alistahili kufa yeye badala ya kanumba, kwangu mimi naona kifo cha kanumba kilimsatahili!
ni mtazamo wangu wanazi msijenge chuki!
Huyo nadhan bado hajajifunza ki2 wangemuacha hata kwa miaka 10 hv akome coz mtoto mdogo anapalamia mambo ya kikubwa na skendo zimemjaa zaid hata ya dada zake mtoto kicheche mpk aibu kumuangalia mara 2 anatembea na wanaume ambao walitakiwa kuwa babu zake.
you nailed it men!!big upWapo wengi wachafu
zaidi ya huyu lakini hawajioni na wala mambo wanayofanya hayaandikwi.
Everybody deserves a 2nd chance we jiulize umetenda dhambi ngapi mbona
Mungu hajakuangamiza unaishi tu anakupa muda wa kutubu
nasubiri picha akiwa na fastjet