Lulu akutana na MAMA KANUMBA,

bora wameyamaliza mtoto wa watu aishi kwa amani!mungu amuongoze
 
if a kid kilss his parents, can the court set him free because he will be an offan?
 
Ila haya mambo yanakuzwa sana sasa hapa utasikia mengi sana.
Baada ya kukutana waende na mahakamani wakafute kesi ili yaishe kabisa.
 
Hii picha nahisi ni kama ya kutengeneza!
 
sasa hapoanasemaje...pole,nimesingiziwa au nisamehe nimeua bila kusudi?
 
Ila haya mambo yanakuzwa sana sasa hapa utasikia mengi sana.
Baada ya kukutana waende na mahakamani wakafute kesi ili yaishe kabisa.

Mkuu kesi inayomkabili Lulu ni jinai ambapo jamhuri ndiyo inayoshitaki na siyo mama Kanumba.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hiyo picha n ya kweli walikwenda kutembelea kaburi la kanumba na hapo walikua washakutana before nyumban kwa mama kanumba kuongea
 
Mama Kanumba amefanya vizuri kumkubali huyu binti na inawezekana kabisa kuwa
Lulu anajua mambo mengi ya marehemu (R.I.P)
kuliko hata yeye.
 
Ila haya mambo yanakuzwa sana sasa hapa utasikia mengi sana.
Baada ya kukutana waende na mahakamani wakafute kesi ili yaishe kabisa.

ile ni kesi ya jamhuri ndg.wala siyo ya mama Kanumba lakini kuna siku sheria itamweka huru tu binti wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…