figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Serikali imeliagiza jeshi la polisi na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kuwakamata, kuwahoji na kuwafikisha mahakamani viongozi na watendaji wote hata kama wamestaafu madaraka yao, waliohusika kutoa shamba la ukubwa wa zaidi ya hekari 3,500, katika kijiji cha Mlilingwa kata ya Tununguo tarafa ya Ngerengere wilayani Morogoro, kwa mwekezaji toka kampuni ya Oxford Trading L.T.D kinyume na taratibu na kwa kugushi nyaraka.