Mh Lukuvi ni kihiyo? maana ameshindwa kutofautisha MTAALA "CURRICULUM" na MUKHUTASARI "SYLLABUS", mjengoni leo.
Mh Lukuvi ni kihiyo? maana ameshindwa kutofautisha MTAALA "CURRICULUM" na MUKHUTASARI "SYLLABUS", mjengoni leo.
Wewe wasema.Mh Lukuvi ni kihiyo? maana ameshindwa kutofautisha MTAALA "CURRICULUM" na MUKHUTASARI "SYLLABUS", mjengoni leo.
mh lukuvi ni kihiyo? Maana ameshindwa kutofautisha mtaala "curriculum" na mukhutasari "syllabus", mjengoni leo.
Hawa watu wamebanwa vibaya. Kwenye hoja hiyohiyo ya Mbatia, awali Waziri Kawambwa aligoma kuleta nakala za mitaala bungeni kama alivyoahidi, lakini baadaye Lukuvi akageuka na kusema kuwa serikali ipo tayari kuleta hiyo mitaala... yaani ni vigumu kuielewa hii serikaliMh Lukuvi ni kihiyo? maana ameshindwa kutofautisha MTAALA "CURRICULUM" na MUKHUTASARI "SYLLABUS", mjengoni leo.