Sasa Mkuu Kama yeye Kama waziri anamwogopa Yule kijana aliyezungusha Kama alivyosema Nabii Ngwajima je IGP Mangu na Kamanda wake Siro si ndiyo kabisa watakuwa wanafanya kazi chini ya kiwango kabisa?! Ifike Mahala Nchi Mawaziri wasimamie Wizara zao Kwa weledi Bila kumwogopa Mtu.Mkuu wa mambo ya ndani ni nyoka, ndumila kuwili, opportunistic to the extreme...... all are opportunistic, but this Mkuu wa mambo ya ndani goes to the extreme!
Wakafunge na facebook au instagram wanapojiuza huko..Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.
Hahahaa, Ahsante mkuu, Japokuwa sihitaji hiyo huduma,kumbuka hao wenye Mabaa wengi hawana hata Gest mkuu, Suala la kuwadhibiti Machangudoa ni gumu sana, Makamba alichemka vibaya Akiwa mkuu wa mkoa, je Mwenye bar Ana nguvu gani za kuwazuia? Huu ni uonevu wa wazi wazi. Machangu doa ni janga la Taifa ,hivyo mzigo huu wasibebeshwe wenye Mabaa.Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.
Bar zilizo pembeni yake mbona hazijafungiwa'?Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.
Ni kweli brother, na Kama ndivyo basi hata hapo Dodoma Pindi bunge likianza vikao huwa Malaya wanajaa kila kona ya huo mji, kwa hiyo tuseme basi na Bunge lifungwe? Ifike mahali viongozi wafanye kazi kwa weledi. Hii mihemko haitatufikisha popoteWakafunge na facebook au instagram wanapojiuza huko..
Hao machangu hawawezi kufanya biashara sehemu ambayo hakuna wateja..
Na kumbukumbu zangu zinaonesha sehemu zote za starehe Dar zina machangudoa..
Wanaonunua Malaya ni haohao viongozi.. Halafu leo wanatuletea unafiki hapa..Ni kweli brother, na Kama ndivyo basi hata hapo Dodoma Pindi bunge likianza vikao huwa Malaya wanajaa kila kona ya huo mji, kwa hiyo tuseme basi na Bunge lifungwe? Ifike mahali viongozi wafanye kazi kwa weledi. Hii mihemko haitatufikisha popote
Huu ni uonevu mkuu, na haya ndiyo madhara ya kuteua wanasiasa katika nafasi nyeti, wao kazi ni chuki uonevu kubugudhi, Waziri wa viwanda na Biashara kazi yake ni nini?. Kama anashindwa kukemea upuuzi Kama huu, basi tutakwama sana safari hii.Bar zilizo pembeni yake mbona hazijafungiwa'?
Unabwabwaja kama hao uliowataja hapo kwenye post yako.
Swissme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15]Ni kweli brother, na Kama ndivyo basi hata hapo Dodoma Pindi bunge likianza vikao huwa Malaya wanajaa kila kona ya huo mji, kwa hiyo tuseme basi na Bunge lifungwe? Ifike mahali viongozi wafanye kazi kwa weledi. Hii mihemko haitatufikisha popote
Humalizi ukahaba kwa kufungia bar go to the route cause of the problem. Huu sio umakini in decision making hata kidogo or else tufunge bar zote. Ukahaba hausababishwi na uwepo wa bar there is more to that and mostly is because of economic hardship and lack of employment opportunities or possibility of upgradingKwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.
Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.
Hii Nchi tukianza kuiendesha kwa visasi namna hii tutapata laana. Viongozi lazima watende haki ili Kumfurahisha Mungu na siyo kutenda maovu kwa kumfurahisha mtu.Kazi ya kuwasaka na kuwadhibiti Malaya ktk Mabaa ni kazi ya Serikali kupitia Polisi. Wenye Mabaa wana uwezo Gani wa kupambana na Hawa Machangudoa waliojaa kila kona ya nchi hii? Mambo mengine yanayofanywa na viongozi ni hovyo haijapata kutokea,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15]