mjomba, hiyo kauli ni ya mbali, mpya kabisa ni kwamba wananchi wa aidha mbagala au kipawa wamepanga maandamano ya kumtaka huyo 'mwenye mkoa' ajiuzulu nafasi hiyo fasta.
tunajua hilo haliwezi kutekelezeka, kama ambavyo utamaduni wa kibongo ulivyo, lakini kwa ujumla, kauli hiyo ni ya kejeli.
fikiria mabomu hayo yangelipukia maeneo ya mikocheni au masaki na kuua idadi ileile ya watu, na kupiga chini yale mahekalu yao, je unadhani mambo yangekuwa kama hivyo?
nchi nzima hii tungepelekwa mchakamchaka wa hatari....!
there are classes here, and we have to embark onto class struggle!