Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,110
Kweli kabisa, hizo kauli za kuumiza umiza watu, kuwatia watu umasikini ni kauli za za kisadist, ni kauli za kichawichawi.Mchawi Mkuu(Jiwe) anapenda kusikia kauli kama hizo ndiyo maana mawaziri wake kilasiku wanakuja nyimbo mpya
The rulers of the United Kingdom of Tz.Kweli kabisa, hizo kauli za kuumiza umiza watu, kuwatia watu umasikini ni kauli za za kisadist, ni kauli za kichawichawi.
Haifai kiongozi wa serikali ya watu kama kweli imetokana na watu kuanza kufikiti namna ya kuwapora wananchi miliki zao.
Ni ushenzi
Mkuu Soma masharti ya kumilikishwa ardhi,ukurasa wa pili kwenye hati yakoKisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao.
Najua serikali inataka kodi ya ardhi kama chanzo cha kodi, lakini katika kipindi hiki cha December ambapo wananchi tuna mambo mengi yanayohitaji pesa unakuja kupushpushwananchi utadhani askari Magereza anavyopush wafungwa hayo mambo sisi wananchi hatuyataki!
Lukuvi Kama umedhamiria kufuta hati za wananchi, Au kunyang'anya mali za wananchi hebu fuata sheria, haya mambo ya kupelekeshanapelekeshana hatutaki.
Wenye kutaka kujenga nao wakatufe ardhi yao wakajenge, nchi hii ina ardhi kubwa siyo mpaka wapore ya watu wengine!Mkuu Soma masharti ya kumilikishwa ardhi,ukurasa wa pili kwenye hati yako
Kama huwezi kujenga umeomba ardhi ya nini?achieni mapori watu wajenge
Mbio za urais mwaka 2025 zimeshaanza. Akina Kabudi na mwenzake (jina nimemsahau) raisi alishawatupa nje kwenye mbio hizo. Hivyo ni Fursa kwa waliobaki.Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi
Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao.
Ni hivi ndugu Lukuvi, sisi wananchi hatupendi stress, kutishwatishwa, kusukumwasukumwa, kupelekwapelekwa.
Kama ardhi tunazimiliki kihalali, wewe tulia ofisini uje na mawazo yenye tija juu ya namna ya kuboresha umiliki wa ardhi, kuboresha masuala ya mipango miji. Lakini siyo kila ukiamka unaanza kutupigapiga mikwara, mara hili mara lile.
Lukuvi kwani ukikaa ofisini ukapanga mipango mizuri ya wizara unaona hiyo ni kazi ngumu isipokuwa kutishatisha wananchi kunyang'anya ardhi zao?
Najua serikali inataka kodi ya ardhi kama chanzo cha kodi, lakini katika kipindi hiki cha December ambapo wananchi tuna mambo mengi yanayohitaji pesa unakuja kupushpushwananchi utadhani askari Magereza anavyopush wafungwa hayo mambo sisi wananchi hatuyataki!
Lukuvi Kama umedhamiria kufuta hati za wananchi, Au kunyang'anya mali za wananchi hebu fuata sheria, haya mambo ya kupelekeshanapelekeshana hatutaki.
Hivi nyie viongozi, mtaanza lini kuheshimu wananchi badala ya kujiimpose juu yetu utadhani nyie ni manyapara wetu?
Lukuvi awamu hii umeanza na mguu mbaya, hebu tuliza ball kwanza, Mambo ya msingi hayataki manguvunguvu. Tuliza mshono, achana na mawazo ya unyang'anyinyang'anyi, fanya kazi zenye tija!
View attachment 1657580
Wenye kutaka kujenga nao wakatufe ardhi yao wakajenge, nchi hii ina ardhi kubwa siyo mpaka wapore ya watu wengine!
Mbio za 20-25 vita ni kali sana.Mbio za urais mwaka 2025 zimeshaanza. Akina Kabudi na mwenzake (jina nimemsahau) raisi alishawatupa nje kwenye mbio hizo. Hivyo ni Fursa kwa waliobaki.
Mwigulu yupo dirishani anachungulia na kuhesabu waliojitokeza. Kwani Mwigulu hajui Mkulu atasema nini kwa waliojitokeza mapema. MHuenda mwezi ujao naye akajitokeza. Nafasi ya kazi ipo wazi.
Mkuu umemwambia ukweli,tatizo lukuvi anafikili alivyo na mapesa kila mtu anamapesa Kama yeye,unachukuaje ardhi ya mtu ki masiala hivyo,Kama tu wananchi waliokua na mapori yao ndani ya ikulu chamwino walilipwa fidia na SERIKALI iweje lukuvi kuja na kauli Kama hizi, so anampanda boss wake,SERIKALI nzima na wananchi kichwani, kumbe ndo maana alishaambiwa hawezi gombea urais,na atumbuliwe KWA mazarau yake,Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi
Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao.
Ni hivi ndugu Lukuvi, sisi wananchi hatupendi stress, kutishwatishwa, kusukumwasukumwa, kupelekwapelekwa.
Kama ardhi tunazimiliki kihalali, wewe tulia ofisini uje na mawazo yenye tija juu ya namna ya kuboresha umiliki wa ardhi, kuboresha masuala ya mipango miji. Lakini siyo kila ukiamka unaanza kutupigapiga mikwara, mara hili mara lile.
Lukuvi kwani ukikaa ofisini ukapanga mipango mizuri ya wizara unaona hiyo ni kazi ngumu isipokuwa kutishatisha wananchi kunyang'anya ardhi zao?
Najua serikali inataka kodi ya ardhi kama chanzo cha kodi, lakini katika kipindi hiki cha December ambapo wananchi tuna mambo mengi yanayohitaji pesa unakuja kupushpushwananchi utadhani askari Magereza anavyopush wafungwa hayo mambo sisi wananchi hatuyataki!
Lukuvi Kama umedhamiria kufuta hati za wananchi, Au kunyang'anya mali za wananchi hebu fuata sheria, haya mambo ya kupelekeshanapelekeshana hatutaki.
Hivi nyie viongozi, mtaanza lini kuheshimu wananchi badala ya kujiimpose juu yetu utadhani nyie ni manyapara wetu?
Lukuvi awamu hii umeanza na mguu mbaya, hebu tuliza ball kwanza, Mambo ya msingi hayataki manguvunguvu. Tuliza mshono, achana na mawazo ya unyang'anyinyang'anyi, fanya kazi zenye tija!
View attachment 1657580
Kumiliki ardhi mpaka uoe?Lukuvi, sisi tulioamua kuwa mabechela sugu, ndio hatuna tena haki ya kumiliki ardhi ndani ya nchi yetu Tanzania?