Lukuvi ana elimu ya darasa la saba.

Kikuyumbo

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
391
170
Kuna kitabu kiliwahi kuchapishwa chenye jina "Mafisadi wa Elimu", kitabu hicho kinatamka kuwa William Lukuvi, ambaye kwa sasa ni waziri wa nchi sera uratibu na bunge ana elimu ya darasa la 7. Mwandishi anaongeza kuwa kama yaliyosemwa si ya kweli basi apelekwe mahakamani. Lakini miongoni mwa waliotajwa hakuna hata mmoja aliye ibuka kukanusha au kwenda mahakamani. Hivyo na mimi nahitimisha kwa kusema, ELIMU NDOGO YA LUKUVI NI TATIZO katika utekelezaji wa sera za serikali ya JK.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom