Leo katika kujadili Muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba, Lukuvi ametumia muda mwingi kumsifia Mnyika na hadi kumpongeza mbowe kwa kumchagua Mnyika katika Timu iliyoundwa kwenda kwa Rais. Anasema kuwa huyo kijana ni makini na hata anapojenga hoja anajenga kiungwana na ni mkweli.
Hasa pale waliposhindwa kukubaliana kuhusu idadi makundi ya kijamii kuingia kwy bunge la katiba alisimamia msimamo wake na hadi sasa hapa bungeni bado anasimamia msimamo huo huo.
Acha kiherehere kamsifia Mnyika muda mwingi ndio muda gani
Muda wote aliosimama wakati anachangia alikua aachi kumsifia Mnyika.Acha kiherehere kamsifia Mnyika muda mwingi ndio muda gani
Muda wote aliosimama wakati anachangia alikua aachi kumsifia Mnyika.
Unasifiwa alafu hakuna mabadiliko ndo nini
Malizia kibaya chajitembeza, na hiyo maana yake ni kuwa kizuri chajiuza ndiyo wabunge wa CDM,na kibaya chajitembeza ndiyo wabunge wa CCM!!kizuri chajiuza...