Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.

Tangu jana saa saba mchana hadi leo hii saa tatu asubuhi, bado waziri wa nchi hana hata jina kamili la meli iliyozama? Hicho wanachosema wanafuatilia ni kitu gani?
Hivi Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni ina viongozi? Ama kila raia anajiongoza anavyotaka. Call your enemy what you are, and always tell the exact opposite of the truth.
Serikali mnayotegemea ifanye mambo yake kwa umakini ndio hii ya m.k.were au? Mwenzenu nilishajichokea kushangaa, siku hizi kauli zote za serikali hii bora serikali huwa nazifanyia uhakiki kabla sijachukua msimamo binafsi!
Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.
Magwanda wote lazima wawachukie Lukuvi na Mwigullu, hakika ni koboko yao. Wamezoea wakisema kitu wananyamaziwa, sasa hizi njemba 2 zinajua udhaifu wa Magwanda ile mbaya.