Wana jf,
huyu ndugu aliahidi kutatua tatizo la maji katika kampeni ya mwaka 2005, miaka mitano ikapita bila mafanikio, akaomba tena ridhaa mwaka 2010 hapo alisaidiwa na JK ambae alidai suala hilo atalibeba yeye raisi kama atapewa ridhaa ya kuongoza tena, lakini mpaka sasa tatizo lipo palepale isipokuwa marachache hutoka kama kuna ziara ya viongozi wa mkoani au taifan.
kiukweli umekuwa wimbo na kutugeuza wana wa Ismani wendawazimu kwa kuwarubuni kwa pilau, na viremba kutokana na kukosa ufaham na umaskin.
Ebu tuahidi tena basi lini utatutekelezea ahadi mliyo ahidi na bosi wako.
Niliwahi kulitembelea hilo jimbo katika shughuli zangu za Sekta ya Wanyamapori,Hakuna Jimbo la Iringa lenye watu masikini kama Isimani,lakini ajabu watu/wakazi wake wamezubaa sana,Maji ni shida sana na kifupi watu wa uko hawanywi Maji ila matope.
Wanwachota Maji ya makorongoni ambapo ngedere na ng'ombe hujisevia pia,Wana njaa kila mwaka,na Lukuvi anatumia njia hiyo kuwaletea Mahindi ya msaada wenyewe wanaita "Mbochelooo"(Sijui maanake nini),Lukuvi anawatumia sana makatibu Tarafa kudidimiza siasa za wapinzani wake...alikuwepo katibu Tarafa Isiman anaitwa Mzee Makendi sijui kama yupo mpaka Leo,Kapo kajamaa kako Tarafa ya pawaga na Idodi...hawa wote wanaharibu Ismani
Niliwahi kuuliza hivi hii Ismani haina vijana wasomi??Huko Udsm,Udom,Mzumbe,SAUT n.k hamkutani na
vijana wasomi wenye uwezo Wa kuwasemea watu Wa huko Isimani??Hat a kama ni Wa CCM lkn iwe aina ya Fikunjombe??Aibu sana kwa mtu kama
Lukuvi