Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,206
- 162,774
Leo tangu mchangiaji wa kwanza asubuhi na mpaka anaengoe jioni hii,mh.Lekule Laizer, mbunge wa Longido,wote wanamwagia sifa Lukuvi kwa wanachokiita utendaji wake mzuri katika kipindi cha miezi 6 alichokaa katika wizara ya ardhi.
Wabunge,karibu wote wa CCM,wanampigia campaign achaguliwe na rais ajae wanamshauri amrudishe katika wizara hiyo as if wana uhakika CCM itarudi madarakani!
Hata hivyo,mh. Halima Mdee anampa angalizo asibweteke kwani kazi aliyofanya ni ndogo ukilinganisha na matatizo yaliyopo katika wizara hiyo.