LUKU - VAT 18% + EWURA 1% + REA 3% = 22%. i.e. 22% of the money you want to buy electricity is tax

LUKU - VAT 18% + EWURA 1% + REA 3% = 22%. i.e. 22% of the money you want to buy electricity it doesn't! Whatever you you call it, this is taxation to the extent of 22%! One can't claim our electricity is cheap!

Hii hoja yako imenifanya nijitafakari na niwe na swali la ziada. Hawa EWURA na REA wanapochukua hiki kiasi, ni kama wanavuna toka kwa mwananchi kwa ajili ya kazi zilizo ndani ya hizo mamlaka. Sasa je na wao wanalipa kodi ya hilo pato wanalovuna toka manunuzi yetu ya nishati au ndio kwa vile ni Taasisi ya Serikali na wakati huo huo inavuna toka kwa wananchi wake kwa mgongo wa pili basi ndio hawastahili kulipa kodi? NMB ni Benki ya serikali lakini imeambiwa ktk lile tozo ni lazima ilipe kodi. Hawa je?

Pia ikitokea ile dhamira njema ya kufikisha umeme vijijini let's say ikatimia, je! hiyo tozo ya REA itaondolewa au ndio tutaendelea kulipa kama maintenance fee kwa ajili ya umeme wa vijijini?
 
LUKU - VAT 18% + EWURA 1% + REA 3% = 22%. i.e. 22% of the money you want to buy electricity it doesn't! Whatever you you call it, this is taxation to the extent of 22%! One can't claim our electricity is cheap!
Mkuu hiyo ni luku tu. Mimi huwa najiuliza...ikiwa nalipa P.A.Y.E, hizi VAT nazolipizwa kwenye bidhaa si halali yangu kudai return? Manake nakumbana na taxation mara 8
 
Wameshindwa kubraistorm kwa kuwiden TAXBASE, wanakimbilia kwenye pesa ndogo ya mlala hoii
.
Mie najiuliza swali ii kodi ya katika specialized industries, haswa mining industries pale penye allowable deduction, mtu hata hajaanza kupata madini lakini zile initial cost zotee ziko allowable..
#pumbavu kabisa
 
For this point, "we are real dying" aliwahi niambia prof. Msafiri, binafsi naona tunaenda ila wengi tutafika na vilaka sana, na Hata hawa watumishi ambao wanaambiwa wamepunguziwa kodi katika mishahara yao kitu wanachoita income tax Mi naona huenda imekua vice versa katika manunuzi ya vitu vingine.
Swali are we going to move out from this circle of poverty? And if we gonna move how. ?
May be let us wait.
 
Wameshindwa kubraistorm kwa kuwiden TAXBASE, wanakimbilia kwenye pesa ndogo ya mlala hoii
.
Mie najiuliza swali ii kodi ya katika specialized industries, haswa mining industries pale penye allowable deduction, mtu hata hajaanza kupata madini lakini zile initial cost zotee ziko allowable..
#pumbavu kabisa
Usiwe na hasira mkuu, tunaelekea kua nchi ya viwanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom