Luku bidhaa adimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Luku bidhaa adimu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ami, Jul 11, 2010.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa upande mmoja uvumbuzi wa umeme kwa kujaza namba-LUKU inaonekana ni ukombozi kwa shirika kama Tanesco ambalo kwa mfumo wa mita za kukopesha limeshaingia hasara ya mabilioni ya shilingi.Hata hivyo kwa kuangalia mambo yanavyokwenda hii huduma baadae itakuwa kero kwa wateja wa umeme.
  Sijui kabla ya Tanzania ni nchi gani zilikwishatumia huduma hii,na pamoja nayo ni akina nani wanaotumia Luku.
  Hii leo kwa mfano mitambo ya LUKU kama kwamba imezimwa kabisa.Watu wenye shida mbali mbali za umeme wamekuwa wakizunguka mijini na majijini kama vile watu wanavyosaka maji siku za ukame.Wamefadhaika wanapigiana simu kila mji kutaraji huko ndiko uliko,lakini wapi!..Wengine wanasema leo watakosa kuangalia fainali ya kombe la dunia,wengine wanasema samaki wao wa biashara wako hatarini kuoza na huku umeme ukiwaka nyumba za jirani na wao wenyewe fedha za kununulia wanazo mifukoni,hawana haja ya kuwakopa Tanesco.
  Sasa jee LUKU ni ukombozi au imekuwa kero?.
   
 2. T

  Taso JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  What...?
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Pamoja na uwepo wa hizi mita kwa zaidi ya miaka 10 sasa bado hawa jamaa wame-stuck palepale, hawasongi mbele.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sometimes I wonder..who mess with the pipe which gives u oxygen for his own survival?? Only in bongo hakuna watu wanaojali. Ndo maana hata wateja wema mwishoe wanajiunganishia umeme kinyemela kuepa pathetic-non-performing bureaucratic system.
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tanzania kuna maajabu ya aina yake.

  biashara ya malipo ya cash haitakiwi kufa, inatakiwa kuwa ndio mtaji wa kupanulia biashara nyengine.

  inaonyesha viongozi wa tanesco wamechoka.
   
Loading...