Lukomolo ni dawa ya libwata au chango

Job sanga

Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
63
Reaction score
74
Wana jamii forum nimemkuta mpenzi wangu na dawa imeandikwa lukomolo. Mm nimehisi ni dawa ya limbwata nikimuuliza anakataa katakata anasema ni dawa ya chango la tumbo. Wandugu ambao wanaufaham wa hizi dawa za asili tunaomba ufafanuzi na je mnashauri nn kuhusu tukio kama hili. Mama mm nimeamua kuachana nae kabsa nimemwogopa sana imani yangu inanipa anaweza harib mipango yangu ya maisha
 
Umefanya haraka. Huenda ilikuwa ni dawa na kukusaidia wewe ukojoe goli nyingi zaidi ama kumfikisha kunako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…