Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,505
Mkuu hiyo ni aina tu ya kutambuana na kutajana.Ni kama Mstahiki Meya, Mheshimiwa Spika nk.Kila Wakili ni Wakili Msomi
Mawakili ambao sio wasomi hawapo? Jibu swali mkuu usizunguke mbuyu
Mkuu hiyo ni aina tu ya kutambuana na kutajana.Ni kama Mstahiki Meya, Mheshimiwa Spika nk.Kila Wakili ni Wakili Msomi
HawapoMawakili ambao sio wasomi hawapo? Jibu swali mkuu usizunguke mbuyu
Swali zuri sana!We uliogopa nini kugombea?
Chris lukosi, umesindwa kugombea kwa vile sio ukoo wa kifalme ww?. pamoja na lengo la kushinda uchaguzi lakini pia chadema wanakuja kuelimisha umma elimu ya uraia. Nashangaa ww umekimbilia ughaibuni kisha unawatia ujinga wahehe wenzio swela winanghani.Namtakia pole in advance...
Sisimizi kapewa kazi ya kumsukuma Tembo.
We uliogopa nini kugombea?
Mimi sijashindwa kugombea bali sina haki ya kugombea kwa sasa kikatiba.Chris lukosi, umesindwa kugombea kwa vile sio ukoo wa kifalme ww?. pamoja na lengo la kushinda uchaguzi lakini pia chadema wanakuja kuelimisha umma elimu ya uraia. Nashangaa ww umekimbilia ughaibuni kisha unawatia ujinga wahehe wenzio swela winanghani.
Dei
Wakati ukifika nitasimama nakugombea, suala la pesa halina uhusiano na kukubalika.atapata wapi pesa za kuwahonga wajumbe? kugombea ssiem kunahitaji pesa,maskini kama mimi hawana nafasi ccm!
Mwanasheria wa Chadema nyanda za juu kusini wakili msomi Kamanda Lukas Sankara ameshinda kura za maoni zakuwania tiketi ya kuwania kiti cha ubunge kwa tiketi ya CHADEMA katika Jimbo la Kalenga baada ya kuwashinda wenzake 12 jioni ya leo.
Mwanasheria wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Sinkara Lucas
ngoja niangalie mechi ya man vs asenal nitarudi
Wengine walidhani huu utakuwa wakati wako wa kurudi nyumbani kutoka ughaibuni ili ugombee. Vipi???Namtakia pole in advance...
Sisimizi kapewa kazi ya kumsukuma Tembo.
Suala la kuishi pale sio tatizo, tatizo ni chopa..Anaishi Kalenga? Au ndio mambo ya Mbunge wa Kalenga Mkazi wa Iringa/Mbeya/songea Mjini ? Au Dar kabisa?
Chadema wasifanye haya mambo wahakikishe mbunge anaishi na wananchi wake bega kwa bega.
Wakati ukifika nitasimama nakugombea, suala la pesa halina uhusiano na kukubalika.
Mimi sio masikini kwa sababu nina miguu yote na miguu yote na sina ulemavu wowote.
Kila jambo ni wakati
Naona mmoja aliamua kutumia cv ya kutupwa sero kama viongozi wake.
Chadema wanaharibu sana vijana wetu, mtu afungwe kwa kosa la kuiba vitindi vya ulanzi halafu anatumia kama sifa kwenye kutafuta ubunge?