sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,696
- 9,910
Ajilikie mwenyewe kama hana wa kuliliaView attachment 3485693
Mpiga picha namba moja wa wasanii nchini Tanzania ambae pia ana ushawishi mkubwa sana Instagram, Ashraf Lukamba ametuma ujumbe wa kumlilia Polepole.
Lukamba mwenye followers zaidi ya million, ilimchukua masaa machache ujumbe wake kusomwa na watu zaidi ya laki 6 ambao walionesha kuhuzunishwa na utekaji unaofanywa na serikali ya Samia.
Ukatili na utekaji wa watu wasio na hatia umeendelea kuwa ndio kitu pekee serikali ya Samia wanafanya kwa ustadi mkubwa.
Wewe umefanya nini zaidi ya ku point fingers?Watu wa aina hiyo wanakuwaga wanafiki tu hawanaga impact yoyote hapo anataka kucheza na akili za washabiki wake baada ya kuona wakina Diamond wamepata mashambulizi kwenye social media so anajisafisha kimtindo
Kama ni rahisi jaribu na wewe kutuma kwenye social media kwa jina lako halisi.Bongo ww nenda na trending tuu 😂
😂 Ety ana ushawishi mkubwa instagram 🙌
Mm nipo Instagram, x na JF kwa kazi zangu maalum na sio hiyo unayotaka niifanyeKama ni rahisi jaribu na wewe kutuma kwenye social media kwa jina lako halisi.
Weka hata hapa JF jina lako halisi.
Coward lakini mzuri kwenye kuhukumu wengine.Mm nipo Instagram, x na JF kwa kazi zangu maalum na sio hiyo unayotaka niifanye
Na ww unafanya nnCoward lakini mzuri kwenye kuhukumu wengine.
Lukamba anafanya jambo la kiume na ujasiri ambalo hata dunia iumbwe upya utokaa uthibutu kujaribu kufanya..
Uhai wake upo kwenye rehani.
Abarikiwe sana LukambaView attachment 3485693
Mpiga picha namba moja wa wasanii nchini Tanzania ambae pia ana ushawishi mkubwa sana Instagram, Ashraf Lukamba ametuma ujumbe wa kumlilia Polepole.
Lukamba mwenye followers zaidi ya million, ilimchukua masaa machache ujumbe wake kusomwa na watu zaidi ya laki 6 ambao walionesha kuhuzunishwa na utekaji unaofanywa na serikali ya Samia.
Ukatili na utekaji wa watu wasio na hatia umeendelea kuwa ndio kitu pekee serikali ya Samia wanafanya kwa ustadi mkubwa.
Basi acha watu wa risk maisha yao, mambo yako ya kike kaaa nayo kimya.Ndio maana sijajitokeza mitandaoni in public na kuigiza kulia.
Naumia kimyakimya moyoni
Tupo pazuri sana sana.Safari hii mwamko ni mkubwa sana. Tukifeli hapa sijui kama itakaa iwezekane.
Mungu atuwezeshe. Hakuna kuingia uogaTupo pazuri sana sana.
Wewe ambae sio mnafiki kuna popote umekemea kwa kutumia original id yako?Watu wa aina hiyo wanakuwaga wanafiki tu hawanaga impact yoyote hapo anataka kucheza na akili za washabiki wake baada ya kuona wakina Diamond wamepata mashambulizi kwenye social media so anajisafisha kimtindo
Huyo ni mmoja ya mnafiki Kama walivyowabongo wengiSafari hii mwamko ni mkubwa sana. Tukifeli hapa sijui kama itakaa iwezekane.
Lukamba anatumia upepo kutrending hamaanishi hiko anachozungumza muda si mrefu utaona atatoa wimboWewe ambae sio mnafiki kuna popote umekemea kwa kutumia original id yako?