Luhanjo kuongezewa miezi 3?

Kuna katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu Peniel Lyimo ,huyu jamaa mchapakazi kwelikweli
 
Mbona ikulu kumezorota sana sasa hivi au hapa ndio mzee wa kaya yuko kwenye mafanikio ya juu kwa kiwango chake?
 
Ifike mahala JK awe anasikia maneno ya walala hoi kwani hasiki watu wanajichukulia sheria mkononi kwenda kwenye ofisi yeyote ambayo kiongozi muda wake umekwisha na kumuondoa kwa lazima hao lazima wawe makamandoo. Luhanjo ameezeka sana hata anapoteza kumbukumbu wakati vijana wachapakazi wapi tele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…