JK KAZI BADO ANAYO....,
KUFANYA VETTING YA KUMPATA FISADI MZURI HUWA INACHUKUA MUDA MREFUUU.....!
Kama tujuavyo JK huwa ana tabia ya kipekee ktk uteuzi wake, huwa mara nyingi hujali sana mtu fisadii na asiye na sura ya huruma ktk ufisadi badala mtu safi mjenga nchi....!
So kuendelea kw P Luhanjo ni JK ku-buy TIME ktk kutafuta fisadi bora zaidi ya wengine! kuna kutuma vijana kuangalia ktk accounts zao za nje na za hapa bongo kucheck balances zao, wana mali gani n then nani ni bora zaidi ktk ufisadi!
2010 baada ule uchaguzi ambao NEC walitutenda,
je mpaka leo kuna baadhi ya taasisi, mikoa, wilaya ngapi? hazina watendaji wateule wake.. nn zaidi ya kushindwa kupata mafisadi bora waliotukuka toka ndani ya CCM na Govt.
JK punguza kuwatenda watanzania kwa kuteua viongozi wasiofaa....., wape haki yao ya kupatiwa viongozi safi wenye kuweza kuwashirikisha wananchi ktk kuwapa nafasi ya kutengeneza maisha bora, kuliko kuwaahidi ujinga wa subira ya kupewa! kisa ubinafsi, kila jambo ni wao na family zao tuuu....!
KIONGOZI JUHA huwa anatoa ahadi tuu, but KIONGOZI MWEREVU huwa anatoa chance kwa watu wake kushiriki ktk kujenga uchumi wa pamoja!
''pale kila mwanachi akishiriki ktk ujenzi wa uchumi, hupata share stahiki...''