Divele Dikalame
Member
- May 4, 2010
- 77
- 12
Mheshimiwa katibu mkuu kiongozi bwana F. Luhanjo ule muda wake wa miaka miwili aliyoongezwa umeisha rasmi Alhamis tarehe 4/8/2011 lakini kuna tetesi ya kuwa tajiri wetu JK anataka kumuongeza miezi mitatu, sijui miezi hiyo kwa faida ya nani au kwa lipi la maana kumfanya huyu mtu kuendelea kuwa hapo, hivi hakuna wazalendo wengine wanaoweza kushikilia nafasi hiyo? watu kama mzee George Yambesi au George Masaju,Juma Mwapachu,Saad Fungafunga ni wazalendo wazuri wana haki kabisa ya kuchukua nafasi hiyo lakini inashangaza JK kutaka kumng'ang'ania Luhanjo haya ni mashaka makubwa sana.
Sijui hao wengine, lakini George Yembesi -BIG NO. Hana ubunifu wowote, alikuwa katibu mkuu wizara ya utumishi ambayo ndio imekuwa inaratibu mpango wa e-government! Hakuna kitu kimefanyika, ukienda kwenye mawizara mafaili yamezagaa kila mahala hata sijui wanajuli lipi ni lipi?

Mheshimiwa katibu mkuu kiongozi bwana F. Luhanjo ule muda wake wa miaka miwili aliyoongezwa umeisha rasmi Alhamis tarehe 4/8/2011 lakini kuna tetesi ya kuwa tajiri wetu JK anataka kumuongeza miezi mitatu, sijui miezi hiyo kwa faida ya nani au kwa lipi la maana kumfanya huyu mtu kuendelea kuwa hapo, hivi hakuna wazalendo wengine wanaoweza kushikilia nafasi hiyo? watu kama mzee George Yambesi au George Masaju,Juma Mwapachu,Saad Fungafunga ni wazalendo wazuri wana haki kabisa ya kuchukua nafasi hiyo lakini inashangaza JK kutaka kumng'ang'ania Luhanjo haya ni mashaka makubwa sana.

Mheshimiwa katibu mkuu kiongozi bwana F. Luhanjo ule muda wake wa miaka miwili aliyoongezwa umeisha rasmi Alhamis tarehe 4/8/2011 lakini kuna tetesi ya kuwa tajiri wetu JK anataka kumuongeza miezi mitatu, sijui miezi hiyo kwa faida ya nani au kwa lipi la maana kumfanya huyu mtu kuendelea kuwa hapo, hivi hakuna wazalendo wengine wanaoweza kushikilia nafasi hiyo? watu kama mzee George Yambesi au George Masaju,Juma Mwapachu,Saad Fungafunga ni wazalendo wazuri wana haki kabisa ya kuchukua nafasi hiyo lakini inashangaza JK kutaka kumng'ang'ania Luhanjo haya ni mashaka makubwa sana.
Mheshimiwa katibu mkuu kiongozi bwana F. Luhanjo ule muda wake wa miaka miwili aliyoongezwa umeisha rasmi Alhamis tarehe 4/8/2011 lakini kuna tetesi ya kuwa tajiri wetu JK anataka kumuongeza miezi mitatu, hivi hakuna wazalendo wengine wanaoweza kushikilia nafasi hiyo? watu kama mzee George Yambesi au George Masaju,Juma Mwapachu,Saad Fungafunga

Mheshimiwa katibu mkuu kiongozi bwana F. Luhanjo ule muda wake wa miaka miwili aliyoongezwa umeisha rasmi Alhamis tarehe 4/8/2011 lakini kuna tetesi ya kuwa tajiri wetu JK anataka kumuongeza miezi mitatu, sijui miezi hiyo kwa faida ya nani au kwa lipi la maana kumfanya huyu mtu kuendelea kuwa hapo, hivi hakuna wazalendo wengine wanaoweza kushikilia nafasi hiyo? watu kama mzee George Yambesi au George Masaju,Juma Mwapachu,Saad Fungafunga ni wazalendo wazuri wana haki kabisa ya kuchukua nafasi hiyo lakini inashangaza JK kutaka kumng'ang'ania Luhanjo haya ni mashaka makubwa sana.
David Jairo ameingizwa kingi na watoto wa mujini akina Januari Makamba! Hii inanikumbusha wakafi wa awamu ya tatu wakati BWM alitaka kumteua Odemba wa aliyekuwa MD waNasaco kuwa Gavana as BOT. Watoto wa mujini wakainyaka na wakamsukia dili la kumuuzia madini feki ya uranium, na alipofika sehemu ya tukio akakutana na wana usalama wakalishughulikia. Huo ukawa ndiyo mwisho wa Odemba. Nasikia yuko USA ni lecturer. Mara nyingine wakuu hawasikii inabidi wataalamu wafanye mambo kama hayoYou're not serious. Unataka Luhanjo aondoke kwa kuwa umri wake umepitiliza, which is right. Lakini mbona huyu Juma anamzidi umri Luhanjo, inakuwa vipi hapo?

Mkuu una maana gani kumtajia JK majina! Yeye kama kiongozi wa nchi ana weledi mkubwa tu wa kujuwa afanye nini at any given time, sisi raia hatupashwi kumpangia TIME LINE ya kubadilisha/kutehua viongozi. Threads nyingi humu zima anzishwa kwa nia nzuri tu yaani kwa masilahi ya TAIFA, lakini kuna wakati mwingine zinaletwa hoja ambazo ukiangalia kwa makini unaona kuna an hidden agenda ya kujaribu kuwapamba watu au kuwabomoa kwa hila tu.
David Jairo ameingizwa kingi na watoto wa mujini akina Januari Makamba! Hii inanikumbusha wakati wa awamu ya tatu wakati BWM alitaka kumteua Odemba aliyekuwa MD wa Nasaco kuwa Gavana as BOT. Watoto wa mujini wakainyaka na wakamsukia dili la kumuuzia madini feki ya uranium, na alipofika sehemu ya tukio akakutana na wana usalama wakalishughulikia. Huo ukawa ndiyo mwisho wa Odemba. Nasikia yuko USA ni lecturer. Mara nyingine wakuu hawasikii inabidi wataalamu wafanye mambo kama hayo.Ila tuwe wakweli nani anataka calibre ya Juma Mwapachu leo katika utendaji wa Tanzania ya leo. Hawa akina Mwapachu tunawasikia kuanza kipindi cha baba as Taifa wakibebwa toka taasisi moja kwenda nyingine. Inatosha jamani
You're not serious. Unataka Luhanjo aondoke kwa kuwa umri wake umepitiliza, which is right. Lakini mbona huyu Juma anamzidi umri Luhanjo, inakuwa vipi hapo?

Swaiba