Luhaga Mpina yuko wapi sijamsikia siku nyingi

Rege

Senior Member
Joined
Jul 9, 2022
Posts
126
Reaction score
168
Yuko Wapi Luhaga Mpina ambaye ametambulishwa kama Mbunge wa Taifa, sijamsikia siku nyingi je amechukua fomu au na yeye ameacha kuchukua fomu kama Gwajima na Majaliwa?
 
Amekwisha huyo, akalime mashamba aliyodhulumu morogoro
 
Yuko Wapi Luhaga Mpina ambaye ametambulishwa kama Mbunge wa Taifa, sijamsikia siku nyingi je amechukua fomu au na yeye ameacha kuchukua fomu kama Gwajima na Majaliwa?
Huyo jamaa huwa hatajwi yari yako utashangaa yupo kitandani kwako, ooooh wewe aya weee
 
Yuko Wapi Luhaga Mpina ambaye ametambulishwa kama Mbunge wa Taifa, sijamsikia siku nyingi je amechukua fomu au na yeye ameacha kuchukua fomu kama Gwajima na Majaliwa?
Atakuwa cuba hivisasa
 
Back
Top Bottom