Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Kutoka CCM hadi ACT WAZALENDO ni maagizo kutoka juu kupitia kwa Zitto Kabwe
Walianza tume wakampitisha kuwa mgombea wa kiti cha urais muda kidogo tume wakasema hana sifa wapi na wapi?
Mara eti kesi yakubumba mahakamani ili tu ionekane et kwamba haibani wapinzani luhaga mpina amewekwa hapo kwa maelekezo maalumu na wlala hawezi kushinda kiti cha urais .
Mnaojifanya eti Mpina ameshinda kesi nawaona km hamnazo😁😁😁
Mtu mzima hapangwingwi
Kwa leo naishia apo