GE2025 Luhaga Mpina kavaa kama muslim!

GE2025 Luhaga Mpina kavaa kama muslim!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,217
Reaction score
14,812
sijaelewa, kuna ulazima gani kwake (Luhaga Joelson Mpina) kuvaa kama muslim?

war on Christianity is real ...

1754423952674.png
 
utaendelea kuwa kijakazi kwa mawazo kama haya
 
Kwa hiyo Zitto ambaye ni muislamu na amevaa suruali na shati kavaa kama mkatoliki au mprotestanti?
Mavazi ya mpina si vita dhidi ya ukristu. Hii ni kujifanya victims kwa kila kitu.
 
Hili ni vazi lenye asili ya mashariki ya kati,kuvaa kanzu haimaanishi wewe ni Muslim, binafsi nina vaa kanzu mara kadhaa na siyo Muslim........
 
sijui ni lini Takataka kama wewe mtakuwa hamuzaliwi katika hili taifa, kila kitu lazima mtaleta udini. mbweha wewe
 
Hilo ni vazi kama yale mashuka kuitwa ya kimasai hali hayana umasai wowote ndani yake.
 
udini utakufanya mjinga kama umefikia mpaka kumchagulia mtu mwingine mavazi gani avae..
Aliyovaa Mpina ni attire rasmi ya muislam. Zitto na mwenzake wamevaa religion-neutral attire. Sijui kama Mpina ni muislam, lakini anao uhuru wa kufuata dini yoyote anayotaka, with or without notice to the public!
 
Muelimishe tu, matusi ya nini?
Binadamu mwenzako unamuita takataka?
nimeudhika tu kwakweli. kuna mambo mengine tofauti za kiimani hazina nafasi kabisa lakini unakuta jitu lina linatolea misuli kabisa.
 
ACT mara ya kwanza wanamsimamisha mgombea wa urais 2015 alikuwa ni mkristo tena mwanamke. NOTE: kwenye uislamu mwanamke hawezi kuwa amir kwa maana kiongozi wa level kama ya taifa. therefore kama unachuki zako na kimoja kati ya uislamu au ACT jitahidi uvitenganishe usiviweke pamoja
 
Back
Top Bottom