Luhaga Mpina katumwa na nani?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,901
13,196
Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.

Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyefungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa anajulikana kuwa na file Milembe!-Luhaga kakosea tena sana.

Tatizo si kwamba hajui, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
 
Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.

Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyekungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa anajulikana kuwa na file Milembe!-Luhaga kakosea tena sana.

Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
🤔📝🆒
 
masopakyindi na genge lake sasa wameanza kufanya utitiri wa Nyuzi za kukataa uwepo wa Uchunguzi.

Kwanini? Nyie mmetumwa na nani?

Huko nyuma walifanya kampeni kabambe za kuuaminisha Umma kwamba Hayat Rais alikufa kwa Ugonjwa wa Corona, sasa wanajitokeza na kusema 'oh' 'alikufa kwa Ugonjwa wa moyo' Soma Uzi huu chini...

Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Kwani wewe mudakitali?
Utaona kwamba kinacho mshawishi Luhaga Mpina Kuhusu kuanzishwa uchunguzi kwasababu za Utata wa Kifo cha Hayat Rais J.P. Magufuli is warranted
 
Sasa Luhaga Kakosa Nini??? Kasema hela zimetoroshwa na zimeibwa kwanini msijibu hoja?? Kwamba hela hizi hapa hazijaibiwa mnamshambulia binafsi yaani nchi ina watu wajinga sana
MIAKA 7000 HAITASOGEA mbele nyie wanafiki ndio mnaumiza nchi hiyo.

Barabara zimezidiwa mpaka sasa unaweza kutumia saa 10 kutoka Dodoma mpaka Dar kim 425 halafu mtu mpuuzi anasema nchi iko vizuri.Acheni ujinga nyie.

Kama Mpina anasema Uongo kuna shida gani kumwambia hizo hela hazijaibiwa hizi hapa na zile zingine ulizosema hazijaibiwa hizi hapa.Mjue hizo hela ni zetu sio zenu ni wote tunalipa kodi tunaumia kuona hali mbaya njia hazipitiki halafu unasikia hela zimetoroshwa.

Halafu mtu mwingine kama wewe unasema ohh Mpina mbaya...Hovyo kabisa
.
 
Kabla hujatuhumu jiulize kwanini sasa yasemwe hayo!!?

Kwanini yametolewa matamko fulani kuhusu hayo yanayoleta uwalakini!!?

Katumwa na na nani!!?hujui Raise ni mali ya jamuhuri!!?

Haya mambo ya kimfumo tuwaachie wenyewe tusubiri ripoti TU ya uchunguzi kama wataridhia uchunguzi ufanyike!!
Kwani the system aka DP wana maoni gani?

Wale wazee wa St Peter operation imefika wapi ?
 
Hawa wanataka kubadili upepo na kudivert attention tu.
Tukitaka kujua turudi nyuma tuone ni vitu gani vilikuwa vinajadiliwa sana tutaona tu kiurahisi.
Kikokotoo, tume huru.
 
Kimsingi hakuna rais aliyeijenga hii nchi Kama Magufuli hata Nyerere alikuwa na maono lkn uchumi ulimbana Magu kajenga nchi bwana hajapata kutokea mwingine,tusifu tu lkn hata tunaowasifu wanaujua ukweli.
Juu ni sehemu ya Wadau walioona mazuri ya Hayat Rais. Hatahivyo, chini ni majibu yaliyojaa chenga za njama dhidi ya Hayat Rais Magufuli- soma vizuri au fuatilia nyuzi kwa kugonga nukuu
Ukifanya mazuri mengi lakini ukiua mara moja tu, mkono wa sheria uko juu yako.
Alimuua nani?
Huo mkono ni Mkono Upi?

Hekima katika uongozi ni muhimu sana.
Hakuna kitu cha udhalimu chini ya jua ambacho hakima malipo hapa hapa duniani.
Na madaraka yoyote ni kama upanga wa pande mbili, ukikata kwa udhalimu, upanga nao utakukata.
Fuatilia ujiridhishe.
Huo ni upanga gani?

Kuna crypted Messages hapa JF. Nashauri Mahakama zitoe muongozo nyuzi nyingi zipitiwe na kuhifadhiwa tayari kwa Uchunguzi na wahusika wote wa messages kama hizi wachunguzwe. Walijua nini?
 
Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.

Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyekungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa anajulikana kuwa na file Milembe!-Luhaga kakosea tena sana.

Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
Mtake msitake lazima uchunguzi ufanyike mbivu na mbichi zijulikane, na hiyo tayari ilishewekewa mpango. Tatizo lenu lilikuwa ni kutekeleza mauaji na kuanza kuropoka ropoka na vijembe kuonesha kuwa eti mlifanya sahihi eti wazee walichoka wakaona inatosha ndiyo maana wazuri hawafi hahaha , yaani kwa kauli zenu wenyewe mmejikaanga sana kujionesha Dkt Magufuli mlimuua
 
Kwamba Magufuli aliuwawa si sera ya maendeleo ya chama.
Halafu mjiridhishe kuwa liko wapi fsili la Mirembe.
 
Mkuu ridhika kuwa it was a natural death, kwa kiherehere chenu muweke ushahidi wenu kuwa aliuwawa.
Na kama mbao ushahidi kwa nini hamuendi polisi?
Ushahidi bosi upo mwingi sana tena mwingi mno maana hata kauli tu za wauaji akina nt na s100 vinathibitisha walimuua tena wanafuraha mno kuwa walimuua na wewe unajua mpaka yule babu marope akasema eti wazee walisema wamechoka wakasema sasa basi wazuri hawafi inathibitisha walimuua Dkt Magufuli.
 
Usilazimishe ushahidi usio na mashiko.
Uliowataja wanaweza kuwa hawakumpenda Magufuli kama wewe, na hakuna sheria ilitungwa kumpenda Magufuli.
Msijidsi kutokujua kuwa Magufuli alibambika watu wengi sana kesi za kughushi za uhujumu.
Hilo peke yake lilimtengenezea maadui wengi wasio wa lazima.
 
Kwenye kifo bosi huwa hatuleti utani aisee, yaani useme eti unamshukuru mungu umepata urais kwa kudra za mwenyezi mungu??? Maana yake umemuua mwenzako uwe rais????
 
Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.

Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyekungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa anajulikana kuwa na file Milembe!-Luhaga kakosea tena sana.

Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
MKUU USITOKE POVU, ATAKUWA NA USHAHIDI WA KUTOSHA SIO KICHAA YULE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom