Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Napenda kumwambia Mwasita 1 kuwa hao uliowataja ni watu safi ndio maana hapo ccm.Nchi hii hakuna Fisadi wala muuza Inga mbona Yusuf Manji ni Diwani wa CCM hajafukuzwa? Hata hao waliohamia Chadema hawakufukuzwa CCM ila kuhamia Chadema ndio CCM inawaita Mafisadi wajiwa CCM wasafi.