Lugola the Ninja, mwaka huu nampa 100%

Lugola the Ninja, mwaka huu nampa 100%

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,892
Reaction score
15,116
IMG-20191219-WA0000.jpg

Ninja, Lugola kama anavyojulikana, kwa kweli mwaka huu nampa marks zote kwa kufanya kazi zake bila stress!
 
Eb telemshen kideo chake tuone hayo mauno na hilo frij linavorukaruka😀😀😀😀
cc masopakyindi

Kangi anayamwaga ya kurusha kitambi dk1.29 hadi 2.06 nyingine nakutumia




Nani anasema JKT hakuna raha, vijana F6 wanapush up kutumia viwiko na ngumi
 
Katekeleza Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi Vema
 
Back
Top Bottom