Je huyo mwenyekiti anafahamu maana ya mikataba na huo mkataba aliousaini lugola unasemaje au anaseme tu kwa sababu huyo Lugola amachishwa kazi?
Kwakuwa wewe umekuwa msemaji wa cdm haina shidaChadema mkoa wa Mara watapinga!
Hao wote mafisadi wakubwaChama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara kimesema kinaandaa utaratibu wa kumuita katika vikao na kumhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ili awaeleze sababu zilizopelekea kuaibisha mkoa huo na Rais John Magufuli ambaye alimuamini na kumpatia nafasi ya uwaziri ili atumikie Taifa.
Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Samuel Kiboye wakati akieleza namna ambavyo chama hicho kinakasirishwa na viongozi wanaopewa nafasi ya kumsaidia Rais katika wizara mbalimbali lakini mwisho wa siku wanaliingiza Taifa katika mikataba mibovu.
Ama kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto.
View attachment 1339630
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kudadavua ukuje utumbie.
Sasa hivi nimetoka kukusifia wamekutoa Tena akili?, wewe sio ridhikiMmawia,
Chadema mkoa wa Mara watapinga!
Sasa hivi nimetoka kukusifia wamekutoa Tena akili?, wewe sio ridhiki
Hahahaaaa........naona mmepata mnadhimu mkuu mpya bungeni kwa mikutano miwili iliyobaki!Sasa hivi nimetoka kukusifia wamekutoa Tena akili?, wewe sio ridhiki
Msalimie mnadhimu mkuu bwashee!
Wewe jamaa sijui ukoje😂😂😂Hahahaaaa........naona mmepata mnadhimu mkuu mpya bungeni kwa mikutano miwili iliyobaki!
Ha ha ha! Huyo sasa hivi yuko benet zaidi na Madelu kutengeneza points za kumshambulia Zitto ili labda Madelu anaweza kulamba post kujikimu.
Kangi wangempumzisha ubunge sasa.Nadhani uwezo wake umefikia mwisho.Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara kimesema kinaandaa utaratibu wa kumuita katika vikao na kumhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ili awaeleze sababu zilizopelekea kuaibisha mkoa huo na Rais John Magufuli ambaye alimuamini na kumpatia nafasi ya uwaziri ili atumikie Taifa.
Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Samuel Kiboye wakati akieleza namna ambavyo chama hicho kinakasirishwa na viongozi wanaopewa nafasi ya kumsaidia Rais katika wizara mbalimbali lakini mwisho wa siku wanaliingiza Taifa katika mikataba mibovu.
Ama kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto.
View attachment 1339630
Sent using Jamii Forums mobile app