M Marealle Member Joined Nov 2, 2010 Posts 26 Reaction score 23 May 30, 2026 #1 Watoto wangu wanaishi Chanika, mkoani dsm. Naomba kufahamu mtaalamu wa lugha za kichina na kijerumani au sehemu rahisi kwao kwenda kujifunza. Ninashukuru kwa msaada huo
Watoto wangu wanaishi Chanika, mkoani dsm. Naomba kufahamu mtaalamu wa lugha za kichina na kijerumani au sehemu rahisi kwao kwenda kujifunza. Ninashukuru kwa msaada huo
Kevzy JF-Expert Member Joined May 23, 2026 Posts 976 Reaction score 1,710 May 30, 2026 #2 Mtandaoni.. jaribu kuangalia walimu wa mtandaoni na wajifunize huko kwa mwanzo kwanza then unatafuta walimu physical.. wazo tu
Mtandaoni.. jaribu kuangalia walimu wa mtandaoni na wajifunize huko kwa mwanzo kwanza then unatafuta walimu physical.. wazo tu
Whackiest JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 1,373 Reaction score 1,915 May 30, 2026 #3 Ngoja nikupe site ambayo rahisi kupata hio kitu
M Marealle Member Joined Nov 2, 2010 Posts 26 Reaction score 23 Jun 1, 2026 Thread starter #4 Whackiest said: Ngoja nikupe site ambayo rahisi kupata hio kitu Click to expand... Asante sana, nitashukuru
Whackiest said: Ngoja nikupe site ambayo rahisi kupata hio kitu Click to expand... Asante sana, nitashukuru