App Mpya itakayo tumika kuwaanika watumiaji wabaya wa Lugha adhim ya Kiswahili.
Katika App hii uandishi mbaya wa Lugha ya kiswahili utaanikwa hadharani ukiwa ni pamoja na ID za waandishi.
Kaeni tayari kushiriki katika zoezi la kuwaanika waharibifu wa tunu ya Taifa letu teule (Tanzania).
Tukitunze kiswahili...tuwaumbue waharibifu.