Lugha ya picha !!!!!

Namuunga mkono, Bado kidogo, 2 yrs watanyooka tu halafu wavuruge kwa kupunguza bei ya viroba
 
Zimetolewa Namba za nukta nundu ili na vipofu wazisome.

Viziwi wajiandae!!!!!
(kina......!!!)
 
Sijakuelewa mkuu

Satuuuu;
Hujanielewa nini mkuu; Kipanya alivyoomba ni baada ya kuwaona wanavyo minywa. Yaani, bado kidogo awatoe "ngama". Yeye anaona hiyo kweli haitoshi?? Basi baada ya kuwabinya kisawia, watachanganyikiwa, na katika kuchanganyikiwa, atapunguza bei ya ulevi wanywe wafie mbali. Hakuna namna!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…