Lugha ya Kiarabu

Thegame

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
2,273
Reaction score
2,402
Wana jf wenzangu naomba mnisaidie ni wapi nitaweza kujifunza lugha ya kiarabu??
Kulingana na nature ya mishe mishe zangu, kuna uelekeo wa kufanya biashara na partners ambao wengi wao lugha yao pekee ni Kiarabu!
Sasa mimi ni mweupe kabisa katika hiyo lugha! Wapi nitajifunza hata basics tu??
 
Siku hizi unaweza kujifunza chochote kwenye mtandao. Google utapata link.
 
0755448117.
Piga namba hiyo mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…