Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,595
- 18,819
Mbowe alisema, akishinda atawashughulikia.Siamini kama Lisu ataongoza kwa chuki kutokana na yaliyopita, afikirie je kama yeye angekosa ingekuwaje kwa waliokuwa upande wake? Ikiwa ataendekeza mabaya kwa waliompiga ajue atakimaliza chama so siamini kama atafikia huko
🤣🤣🤣Pichani ni Yeriko Nyerere akiwa haelewi anavuta Oxygen au Carbon dioxide.🤣🤣🤣
Hatari sanaShida ilianza pale Mwenyekiti mstaafu Kuitwa Alpha na Omega, kwamba kuondoka kwake mpaka awe kwenye Machela hajitambui
Sema Lissu hapaswi kulipa visasi ataua chama cha msingi ni kusonga mbele tuMbowe kamaliza vizuri kwa kukubali kushindwa, wapambe ndio watapata shida hasa waliokuwa wanamdharau Lisu.
Anajiita hivyo etiIyo poripori ndio iwe kachero? 😄😄😄
Nguvu ya Mungu Vs mizimuJitu la mizimu ìmeshindwa kumsaidia Mbowe
Sijui kama hata chakula kinashuka ,wametumia nguvu nyingi mnoIla wenje na Yericko naomba tumalizane nao kwanza.
Yeriko Nyerere na Ntobi waache kamdomo, eti ALFA NA OMEGA kikowapi sasa.Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea.
Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya.
Ikiwa imemzidi mpinzani wake Salzburg vitu vingi,rate ya mchezaji mmoja mmoja,na haya umaarufu.
Lakini bado hakuna anayekuwa na Imani ya kiasi kikubwa kuweka milioni 1 eti Madrid ashinde.
Lazima kuwe na akiba ya ubongo na maneno pia,hii kitu imemshinda Yeriko Nyerere,anadhani watanzania be wamelala,anadhani ukieneza propaganda unaweza kumshawishi mtu mwenye akili timamu
hata wajumbe walio wengi wamesoma ni nani anatakiwa na wananchi mwisho wa siku box limeamua.
Hongera TUNDU LISSU
Hongera FREEMAN MBOWE
Hongera CHADEMA.
Mmeonesha Demokrasia ya kweli,
Ila mwanakwetu Yeriko Nyerere punguza mdomo.
Umeshindwa kusoma alama za nyakati , umeshindwa kutumia ujasusi wako vizuri mdogo wangu.
Swela hela be myetu.
Pichani ni Yeriko Nyerere akiwa haelewi anavuta Oxygen au Carbon dioxide.
Naomba Lissu awasamehe,achukulie ilikuwa sehemu ya kampeniYe
Yeriko Nyerere na Ntobi waache kamdomo, eti ALFA NA OMEGA kikowapi sasa.
Kamdomo ,kamdomo kamdomo
Ndio jasusi huyo wakuandika mpaka vitabu
Neno ujasusi sijui tunachukuliajeNdio jasusi huyo wakuandika mpaka vitabu!