UMEIPATA hii, msukuma 'wa' MWANZA alienda DAR kwa kaka yake kumtembelea!! alipofika alimckia KAKA yake akimwita mkewake, "DARLNG" basi na yeye aliporudi MWANZA akawa anamwita mkewake "MWANZALING". Chezeaa... msukuma...