Lugha ya mama yako.
Watu wanaleta utoto kwenye masuala ya msingi.... Mnapoteza maana ya jukwaa hili...!!! Mi nimeingia nionee michango ya wadau; watu mnacomment upuuzi na utoto wenu... Mleta mana ukipata majibu plz share with us...
Mkuu nashukuru kwa kuliona ilo swala kuna watu wakera
Watu wanaleta utoto kwenye masuala ya msingi.... Mnapoteza maana ya jukwaa hili...!!! Mi nimeingia nionee michango ya wadau; watu mnacomment upuuzi na utoto wenu... Mleta mana
ukipata majibu plz share with us...
Kiswahili.
nadhan..binafsi hakuna lugha nyepesi wala ngumu...kwakua lugha ni mfumo wa sauti za nasibu/kufikirika...it hard to tell...cuz kila mtu anaona lugha yake ni rahisi kuijua...but i blv ukiachilia lugha za wale wenzetu bush men wa jangwa la kalahari(namibia) ambao wanatumia "clicksound"..,lughazote zilizobakia ni rahisi...jus a matter of commitment na persistence tu.kuzi master
Maelezo mazuri lakin hayashabihiani na dhamira yetu hapa... kw sisi wa-tz lugha ipi at least ni rahis kuielewa mapema among int.languages[/QUOTE
..oh basi nadhan ni kifaransa..hakina complication nying kama kiingereza...
Kama una enda kwa scholarship sawa ila Kama unalipa mwenyewe usiendeMwakani naenda kusoma Urusi, na moja kati ya masharti ni lazima ujifunze kirusi, nahofia inaweza kuwa lugha ngumu maana hawana a,b,c,d hawa mabwana..that's means unaenda kujifunza lugha mpyaa kabisaa.
Mungu wa zumaridi nipe ufahamu wa kujifunza haraka.
Mwakani naenda kusoma Urusi, na moja kati ya masharti ni lazima ujifunze kirusi, nahofia inaweza kuwa lugha ngumu maana hawana a,b,c,d hawa mabwana..that's means unaenda kujifunza lugha mpyaa kabisaa.
Mungu wa zumaridi nipe ufahamu wa kujifunza haraka.