Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,857
- 9,343
Salaam wana Great thinkers,
Ni muda mwingine tukutane kujadiliana kuhusiana na hili suala linaloleta mkanganyiko kuhusu ....
Je ni lugha gani itafaa kutumika katika elimu yetu kuanzia awali(primary) hadi chuo kikuu(university) kati ya Kiswahili au English nchini Tanzania...??
Kwa maana kumekuwa na matamko tofauti tofauti kutoka kwa Viongozi wanaohusika na hili suala la elimu wengine wakisema bora kiingreza maana kiswahili hakijitoshelezi na wengine bora Kiswahili ili kufanya wanafunzi waelewe zaidi. ...
Je kwa upande wako unapendelea kutumia lugha ipi uwapo shule ambayo kati ya hizo mbili. .???