mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Hakika watu walikuwa wameichoka Serikali ya CCM awamu ya 4 Kwa kukumbatia Wezi Mafisadi Na Madalali kila kona, Ofisi za Serikali Na Mashirika ya Umma Na ndio maana kila sehemu in Ufisadi Ufisadi.
Maneno hayo ameyasema alikuwa CAG Bw.Ludovick Utouh wakati akihojiwa Na gazeti ofisini kwake.
Ukweli nchi hii ndio maana tunasema Rais Magufuli ameachiwa nchi iliyooza Na yote Haya ni Sera mbovu za kumbatia Na kuruhusu viongozi kuliibia Taifa letu.
Rais Magufuli una Kazi kubwa Na CCM.