Ludovick Utouh aula UN

mwacheni77

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
763
209
Ludovic achaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya fedha wa UN
Chanzo cha habari ni radio free africa
 
huyu jamaa ni mzuri sana hasa akiwa pale nbaa alijijengea heshima kubwa sana tatizo magamba wanamyumbisha uzee nao umekaribia anaishi kwa wasiwasi
 
Kweli mkuu pale NBAA alifanya vizuri lakini akingia kwenye mtego wa JD akaharibu kabisa
 
Kumbe viongozi wengi wa Kikwete ni wazuri? Nilikuwa silijui hili.
Tujikumbushe baadha tu,
Dr. Asha-Rose migiro------UN
Dr. Ramadhani Dau-----Africa representative kwenye Association of National social security fund
Chief justice Othman Chande----contestant wa nafasi Luis Moreno Ocamp, yupo kwenye 3 shortlisted
CAG Ludovick Uttoh-----soma hii thread.

Sasa mtu mwenye akili nzuri hebu atueleweshe, tatizo la serikali ya JK tunalolalamikia nini hasa. Bila jazba.
 
huyu jamaa ni mzuri sana hasa akiwa pale nbaa alijijengea heshima kubwa sana tatizo magamba wanamyumbisha uzee nao umekaribia anaishi kwa wasiwasi

hapo kwenye red nimepapenda sana mkuu. na tatizo hili linawasumbua vibabu vingi ndani ya govt, wengi wanaogopa kuishi kwa matumaini baada ya kustaafu. Kwao suluhu ya maisha baada ya ajira ni kupokea kila 'uchafu' unaoletwa mezani mwao, mweeeeeeeeeeee..........halafu wanadai eti JKT imewafanya wawe wapenda nchi na relly patriots........
 
Kumbe viongozi wengi wa Kikwete ni wazuri? Nilikuwa silijui hili.
Tujikumbushe baadha tu,
Dr. Asha-Rose migiro------UN
Dr. Ramadhani Dau-----Africa representative kwenye Association of National social security fund
Chief justice Othman Chande----contestant wa nafasi Luis Moreno Ocamp, yupo kwenye 3 shortlisted
CAG Ludovick Uttoh-----soma hii thread.

Sasa mtu mwenye akili nzuri hebu atueleweshe, tatizo la serikali ya JK tunalolalamikia nini hasa. Bila jazba.

Mkuu wengi wa hao ni vizazi vya Mkapa, we subiri uone kama kitatokea kizazi cha huyo M.kwere after retiring the presidency! Yeye ameegemea kwenye kuzalisha mafisadi tena wengine from his own gene pool, mweeeeeeeee!
 
huyu jamaa ni mzuri sana hasa akiwa pale nbaa alijijengea heshima kubwa sana tatizo magamba wanamyumbisha uzee nao umekaribia anaishi kwa wasiwasi
vipi akiwa kwenye udhibiti na ukaguzi pia amejenga heshima kubwa?? au iliishia palepale NBAA
 
Kumbe viongozi wengi wa Kikwete ni wazuri? Nilikuwa silijui hili.
Tujikumbushe baadha tu,
Dr. Asha-Rose migiro------UN
Dr. Ramadhani Dau-----Africa representative kwenye Association of National social security fund
Chief justice Othman Chande----contestant wa nafasi Luis Moreno Ocamp, yupo kwenye 3 shortlisted
CAG Ludovick Uttoh-----soma hii thread.

Sasa mtu mwenye akili nzuri hebu atueleweshe, tatizo la serikali ya JK tunalolalamikia nini hasa. Bila jazba.

Aisee we 'kenge' kweli!
 
Kweli wewe popompo, ukitumia qualitative analysis huoni kuwa tatizo hapo ni JK?
 
Kumbe viongozi wengi wa Kikwete ni wazuri? Nilikuwa silijui hili.
.Tujikumbushe baadha tu,

.rejea kashfa ya richm0nd 2 dowanz
.rejea kwenye inflation
.rejea rushwa mahakaman
.rejea ubadhrifu wa pesa kwenye halmashauri
.rejea wiz namba 2 wa pesa za EPA
.Rejea uzembe wa mawazir hadi wanalala bungeni
.rejea matumiz makubwa ya serikal
Dr. Asha-Rose migiro------UN
Dr. Ramadhani Dau-----Africa representative kwenye Association of National social security fund
Chief justice Othman Chande----contestant wa nafasi Luis Moreno Ocamp, yupo kwenye 3 shortlisted
CAG Ludovick Uttoh-----soma hii thread.

Sasa mtu mwenye akili nzuri hebu atueleweshe, tatizo la serikali ya JK tunalolalamikia nini hasa. Bila jazba.

.rejea mamlaka ya mawasiliano last wiki
 
.rejea wizi namba 2 wa epa,
.rejea inflation
.rejea ajira
.rejea rushwa
 
Kumbe viongozi wengi wa Kikwete ni wazuri? Nilikuwa silijui hili.
Tujikumbushe baadha tu,
Dr. Asha-Rose migiro------UN
Dr. Ramadhani Dau-----Africa representative kwenye Association of National social security fund
Chief justice Othman Chande----contestant wa nafasi Luis Moreno Ocamp, yupo kwenye 3 shortlisted
CAG Ludovick Uttoh-----soma hii thread.

Sasa mtu mwenye akili nzuri hebu atueleweshe, tatizo la serikali ya JK tunalolalamikia nini hasa. Bila jazba.
Wailomchagua Dr Dau ni Vipofu!Wameshindwa kuupima mfuko wake katika eneo la kutoa mafao kwa Wananacha!Ni NSSF ni kati ya mifuko inayotoa mafao kiduchu kwa wastaafu!Dau hana mafanikio bali walikurupuka
 
Nyie msikurupuke kubwatuka.
Ludovic utoh hajachaguliwa bali ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ambapo uchaguzi unafanyika mwezi desemba! Wabongo bwana...hamsikiliza taarifa za habari, kazi umbeya tuuu!
 
Kumbe viongozi wengi wa Kikwete ni wazuri? Nilikuwa silijui hili.
Tujikumbushe baadha tu,
Dr. Asha-Rose migiro------UN
Dr. Ramadhani Dau-----Africa representative kwenye Association of National social security fund
Chief justice Othman Chande----contestant wa nafasi Luis Moreno Ocamp, yupo kwenye 3 shortlisted
CAG Ludovick Uttoh-----soma hii thread.

Sasa mtu mwenye akili nzuri hebu atueleweshe, tatizo la serikali ya JK tunalolalamikia nini hasa. Bila jazba.

Hivi kuna tofauti gani kati ya akili zako na mavi masaburini mwako? Ati viongozi wa kikwete ah! Hao ni watanzania walioelimishwa na mwl Nyerere na elimu zao hazina uhusiano wowote na m,k,w,e,re, wako. Jina zuri la tanzania kwenye anga za kimataifa siyo matokeo ya kikwete bali heshima kubwa aliyoijengea taifa hili yule mura wa kure butiama
 
huyu jamaa ni mzuri sana hasa akiwa pale nbaa alijijengea heshima kubwa sana tatizo magamba wanamyumbisha uzee nao umekaribia anaishi kwa wasiwasi

Kitaaluma huyu jamaa yupo vizuri sana, Ila anatakiwa aache siasa.
 
JKNyerere alikua Juu sana mzee wetu,nchi ishauzwa hii,alshabaab njooni mje kutia heshima huku nasikia taharifa za kiintelejensia kwamba mpo huku kwetu,ebu fanyeni hata shambulio moja watu watie akili.
 
Back
Top Bottom