Ludovick apata dhamana

Tulidhani hawezi kutoka, kumbe katoka? sasa kesi itakuwa ngumu.
 
Poor LUDO

At last, najua akiwa cleared Chadema watakuja hapa na kumkumbatia na kumuita shujaa wakisahau kuwa walimkana
 
Mnamsulubu Ludovic kwa kuwa ameshindwa kukamilisha dhamira yenu ya utekaji

nani anamsulubu?nyie magamba si ndio mnamsulubu,na nyie si ndio mlimtuma..kwani alitumwa na cdm?alitumwa na wasira na mwigilu.hao hao ndio wamemdhamini.
 
Poor LUDO

At last, najua akiwa cleared Chadema watakuja hapa na kumkumbatia na kumuita shujaa wakisahau kuwa walimkana


Ha ha haaa! We endelea na kibarua chako cha kuchamba shyt wazee wa uingereza, mkono uende kinywani. Hiyo picha uliyoweka kwenye avatar ina uafadhali, ingawa sasa unaonekana kama mshirika wa waliberali.
 
Ludo, tunasubiri ufunguke maana hawa Chadema wanataka kukubebesha mzigo huu.
 
Kuna siku atajiuza yeye kwa kuendekeza vya kupewa, kijana rijali unatumika km ndomu na magamba!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…