Ludovick apata dhamana

Anaanza kufuatilia balqnce yake...au hatalipw 7bu dili lilibuma...
 
hata mngesema he is no longer! cc tunamwona hana jipya tu kitaifa
 
Aliwafanyia kazi kubwa lakini wakamtelekeza sasa ametoka kwa jitihada zake wasubiri afunguke watakimbiana tu.
 
Aliwafanyia kazi kubwa lakini wakamtelekeza sasa ametoka kwa jitihada zake wasubiri afunguke watakimbiana tu.

kama alishindwa funguka kwa sh 50,000 ataweza sa hivi kwa buku 7? amshukuru sana chemba sijui kapata wapi huruma ya kwenda kumtoa huko lupango.
 
kama alishindwa funguka kwa sh 50,000 ataweza sa hivi kwa buku 7? amshukuru sana chemba sijui kapata wapi huruma ya kwenda kumtoa huko lupango.

angetakiwa afie huko huko lupango mnafi na mdhalimu mkubwa yule.
 
Yupo gerezani bado!
Mleta mada anataka tusahau namna CCM ilivyogaragazwa ARUSHA!
 
toka hapa na habari yako nusunusu nawewe!
 
Unataka kujua yuko wapi ili umfanye nini? Mbona nyie Bavicha mmekosa ubinadamu?
mna kazi kweli kweli lakini mtakuja kujuta sana hapo baadae sababu pamoja na majivuno yoote tulio nayo bado bauti inatusubiri.
 
Chadema inawaumiza vijana wa watu kwa njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…