Kwa mujibu wa sheria, ripoti ya CAG inageuka kuwa public document mara baada ya kuwasilishwa rasmi bungeni "tabled" not before that!.
Ripoti hiyo ndio imewasilishwa saa 3 asubuhi hii, sasa wewe uliokuwa unaitafuta saa 6 za usiku, ulikuwa unaitafutia nini?.
Kuwa mwanga sio mpaka uwangie watu, bali hata kutafuta vitu usiku wa manane wakati vitu hivyo vipo wazi mchana kweupe, pia huu pia ni wanga!.
Unathubutu kumwita CAG incompetent?!.
Mwanga mkubwa wewe, peleka uanga wako huko huko walikokutuma!.
CAG anafanya press conference mida hii baada ya hapo tembelea website, download report!.