Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
Kwa mujibu wa sheria, ripoti ya CAG inageuka kuwa public document mara baada ya kuwasilishwa rasmi bungeni "tabled" not before that!.
Ripoti hiyo ndio imewasilishwa saa 3 asubuhi hii, sasa wewe uliokuwa unaitafuta saa 6 za usiku, ulikuwa unaitafutia nini?.
Kuwa mwanga sio mpaka uwangie watu, bali hata kutafuta vitu usiku wa manane wakati vitu hivyo vipo wazi mchana kweupe, pia huu pia ni wanga!.
Unathubutu kumwita CAG incompetent?!.
Mwanga mkubwa wewe, peleka uanga wako huko huko walikokutuma!.
CAG anafanya press conference mida hii baada ya hapo tembelea website, download report!.

Naunga mkono hoja ya msamaha Kama binadamu kuteleza ni kawaida cha ajabu ni kuangukia kisogo otherwise Pasco ameonesha hisia Kali maana binafsi sijui sisi watanzania hulka yetu ikoje? Badala ya kupongeza mtu anayetimiza wajibu wake kwa uweza wake wote licha ya changamoto lukuki anazopambana nazo tunajitahidi kumuonesha sikitu bad enough kujaribu kuwashawishi na wenzetu waamini mapungufu yetu kuwa nod uhalisia. Wadau swali langu dogo tu hivi ki uhalisia wangapi walikuwa wanafaahamu kuna ripoti za CAG na ripoti hizi zinapatikana kwa wwnanchi Kabla ya kuteuliwa Utouh kuwa CAG? Jamani waungwana mtakubaliana na mm kuwa ufahamu wa ofisi ya CAG ulikuwepo kwa Wengi wenye taaluma ya uhasibu na has a katika level ya serikali bad enough hata serikalini Wengi aw watumishi ukiachana na wahasibu walikuwa hawaijui ofisi hii licha ya ukweli kuwa ofisi ya CAG imekuwepo Kabla ya uhuru wa nchi hii nahaijawahi kufutwa isipokuw a imeendelea kuboreshw a. Kama tunavyojua swala la kuelimisha umma c lelemama linahitaji pesa basi. Tukubaliane na ha tua aliy opiga CAG bw. Utouh kwa kujaribu kuelimisha umma na Kama tunaona kuna njia hajaitumia tumshauri bw. Utouh ni sikitu sana at asikiliza Kama hula mini Tanya utafiti kwa waandishinwa Jabari Mimi naweza kusum a ni Mano wa kuigwa na viongozi wa serikalini nduguzanguni Penye ukweli na sifa tumpe na alipofanya kwa udhaifu tujengane. Watanzania tujenge utamaduni wa kupendana na kuwawajibisha viongozi wazembe sio kuwavunja mayo wawajibikaji. Dhambi hata kwa Mungu. Ofisi ya CAG imekuwepo tangu mkoloni lakini imeanza kujulikana lini kwa raia???Lets forgive him he doesn't know what he is saying. Hana tofauti na Vodacom premium league
Uungwana ni kuomba msamaha na kusamehewa. utamsameheje mtu kwa kitu unachodhani yeye kafanya kosa ili hali yeye haamini kuwa kafanya kosa?Lets forgive him he doesn't know what he is saying. Hana tofauti na Vodacom premium league
katika hali ya kawaida ofisi yake toka saa 6 usiku ilitakiwa ishapandisha ripoti live kwenye website lakini ukweli ni kuwa jamaa hataki na sijui anaficha nini
National Audit Office of United Republic of Tanzania
lakini ana mtetetzi wake atakuja kutea hii incompetency yake na ofisi yake
Pasco umechemsha hapo
kubali yaishe
Lets forgive him he doesn't know what he is saying. Hana tofauti na Vodacom premium league
Pasco kasema ukweli, sema tu amekua mkali kuliko hata Utouh mwenyewe! CAG yuko vizuri sana kichwani sawa sawa na Hoseah wa PCCB na Mama Blandina Nyoni. Tatizo ni bosi wao! (nimewaingiza Hosea na Nyoni kwasababu ni kati ya viongozi wanaosemwa incompetent kwa kusingiziwa)
Uungwana ni kuomba msamaha na kusamehewa. utamsameheje mtu kwa kitu unachodhani yeye kafanya kosa ili hali yeye haamini kuwa kafanya kosa?
Unajua wakuu nimeshtuka kwa kiasi kikubwa majibu ya Pasco. Anyway, hakunaga muda maalumu wa kusoma kitu unachotaka kukifahamu.Inawazekana kila mtu akasema lake ila taifa hili linatatizo laviongozi, weng wamepewa ili wawalinde, weng wanafanya kaz za chama na sio za serikali. Hivyo mtu kuja hapa nakumsifia, either of them nakutukana watu mimi namuona niwalewale. Taifa hili linawatu wenye akili na uwezo kushinda Ludovic na yeye anajuwa. So hata yeye hatufai, ameficha mauchafu meng na kama yangeanikwa hapa uyo Pasco angefunga domo. Mungu ibariki Tanzania nakuwaokoa watanzania ktk midomo ya mafisadi.
Lonestar,
Unatafuta ripoti saa sita usiku mchana unafanya nini ?.
Lone Star, naomba kuchukua fursa hii kukuomba msamaha. Nakuomba radhi sana kwa jinsi nilivyo kuita.matusi ya nini kaka?
kata kama tunatofauti haina haja ya kunitukana
na naomba radhi sana kama nimekuudhi kwa kusema niliyoyasema kuhusu CAG