GIB JF-Expert Member Joined Mar 2, 2012 Posts 336 Reaction score 92 Mar 5, 2012 #1 Wadau kuna mtu ana updates zozote kuhusu Dr Lucy Nkya kama ameamua kujiuzulu au vipi?
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,772 Mar 5, 2012 #2 Hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo!
GIB JF-Expert Member Joined Mar 2, 2012 Posts 336 Reaction score 92 Mar 5, 2012 Thread starter #3 Mpaka madaktari wagome ndiyo ajiuzulu????
Najuta Kukufahamu Member Joined Feb 29, 2012 Posts 54 Reaction score 17 Mar 5, 2012 #4 kwani bosi wake yule mzee mwenye kingereza feki ameshajiuzulu tayari?/ mama ana nyodo sana huyu hafai..
kwani bosi wake yule mzee mwenye kingereza feki ameshajiuzulu tayari?/ mama ana nyodo sana huyu hafai..
mmbangifingi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 2,839 Reaction score 567 Mar 5, 2012 #5 Aliyemteua kamkataza kufanya hivo!!!
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Mar 5, 2012 #6 Kama vile nimesikia ameitisha waandishi wa Habari
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 295 Mar 5, 2012 #7 ajiuzulu kwa lipi? hata madr wagome vp ajiuvulu m2 chezea tanzania nn ww?
Nelsweeter Senior Member Joined Feb 17, 2012 Posts 141 Reaction score 71 Mar 5, 2012 #8 Hawezi kujiuzulu, kwani atamwaibisha bosi wake
Ndachuwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 6,268 Reaction score 4,586 Mar 5, 2012 #9 Radhia Sweety said: Hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo! Click to expand... Kina mama msivyopendana. Someni katiba, Naibu waziri ni mtu mdogo sana kwenye maamuzi ya nchi hata kwenye kikao cha baraza la mawaziri haingii.
Radhia Sweety said: Hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo! Click to expand... Kina mama msivyopendana. Someni katiba, Naibu waziri ni mtu mdogo sana kwenye maamuzi ya nchi hata kwenye kikao cha baraza la mawaziri haingii.
Mnyamahodzo JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 1,943 Reaction score 1,015 Mar 6, 2012 #10 Jadili kwanini Mponda hajiuzulu. Maji yatafata mkondo. Haji Mponda aachie ngazi kwanza.