Lucy Mayenga; DC wa Uyui Tabora

Huyu enzi ya mkweree amefaidi sana miaka yote kumi ;kwani licha ya kuwa DC pia alikuwa mbunge!!! Sidhani kama Magufuli ataendeleza huu ujinga. Kuteua mashori ili viwe vilago vyake akienda kufanya ziara mikoani, matunda yake ndio hayo yametuingizia hasara ya kuongeza deni la TAIFA kwa kwenda huko nje kutibiwa tezi dume!!
Makaburi kama haya ni muhimu sana kuyafukua ili kuona kama maiti imeoza au bado inanyama za kutosha.
 
Back
Top Bottom