Umemfukuza jamaa, hutomwona tena.Huyu si ndie yule mweye skendo ya kumpiga mama yake na wana bunda hawamtaki kwa sababu alifanya vibaya kumfuata mama yake na kumpiga natumaini kesi yake bado iko mahakamani
swissme
Hii ndio wilaya ya kazi kwa mh.Dkt.lucas webiro anayesubili kupishwa bungeni hivi karibuni