Lucas Mwashambwa

Lucas Mwashambwa

Wakuu
Naomba kujua wafisu wa ndugu yetu huyu
Naona "unaupiga" mwingi kwenye idara ya "Pambio"
Kwa kifupi sana,
mungwana ni mtaalamu mwandamizi na mbobevu katika sayansi ya siasa na utawala, na ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa, kijamii, kiuchumi kitaifa na kimataifa nchini.

Ni mshauri mbobevu mwandamizi wa kimkakati, katika vyama vya siasa mbalimbali Africa. Na mpaka sasa, anafanya kazi hiyo muhimu ya kidemokrasia katika nchi mbalimbali Africa 🐒
 
Back
Top Bottom