waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 190
- 451
Mfanyabiashara wa Madini ya Tanzanite Lucas Mdeme na meneja wa kampuni ya Madini ya Crown Lapidary anayeshikiliwa Magereza kwa kosa la uhujumu uchumi, huenda akafikishwa mahakamani muda wowote kwa tuhuma za kuongoza genge la uhalifu.
Imegundulika kuwa ndiye aliyeratibu mpango mzima wa Askari watatu na Raia sita waliohusika kumteka na kumwomba rushwa mfanyabiashara mkubwa wa Madini jijini Arusha Sammy Mollel.
Aidha imeelezwa kuwa Mdeme ndiye aliyehusika kupeleka habari za uchochezi zilizochapishwa siku mbili mfururizo kwenye gazeri la Kila siku la JAMVI LA HABARI akichongamisha mihimili ya serikali kwa maslahi yake binafsi.
Mdeme ambaye anaporomosha mjengo wa gorofa eneo la Olorien jijini Arusha anadaiwa kujihusisha kuchora ramani za dili kwa kushirikiana na wahalifu na baadaye kugawana fedha zinazopatikana.