Lt General Kayumba Nyamwasa aokolewa tena!

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,521
7,570
kuna habari toka Afrika Kusini kuwa makachero wa nchi hiyo wamezima jaribio la kumuua huyu ndugu, na wanawashikilia baadhi ya watu, silaha na pesa kuhusiana na suala hilo. wanasema hili ni jaribio la tatu dhidi yake ambaye alikuwa chief of staff jeshi la Rwanda. nachojiuliza huyu jamaa ana siri gani hasa au amefanya kosa gani hasa mpaka apaniwe kiasi hiki, na hivi hakuna mkono wa Kagame kwenye hili suala?
 
akhasante kwa link. kwa hali hii ni muda tu utatuambia nini kitafuata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…