Lt General Kayumba Nyamwasa aokolewa tena!

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,291
7,238
kuna habari toka Afrika Kusini kuwa makachero wa nchi hiyo wamezima jaribio la kumuua huyu ndugu, na wanawashikilia baadhi ya watu, silaha na pesa kuhusiana na suala hilo. wanasema hili ni jaribio la tatu dhidi yake ambaye alikuwa chief of staff jeshi la Rwanda. nachojiuliza huyu jamaa ana siri gani hasa au amefanya kosa gani hasa mpaka apaniwe kiasi hiki, na hivi hakuna mkono wa Kagame kwenye hili suala?
 
akhasante kwa link. kwa hali hii ni muda tu utatuambia nini kitafuata!
Kifupi unapoongelea waliokuwa msituni na Kagame huyo ni mmoja wao..... Makubaliano waliyokuwa wamewekeana ikiwemo kuachiana madaraka Kagame kayaweka mfukoni......... Huyo jamaa ni hatari, na kunauwezekano kbs wakarudi msituni tena..... Ni tishio la uongozi mzima wa Kagame......

Unasoma kidogo kusoma hii, RWANDA TRIBUNE IBUKABOSE - PAUL KAGAMA AURAIT ECHAPPE A UN ATTENTAT ! | ndagijimana.rmc.fr
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom